Isotretinoin: Dawa Hatari kwa Wajawazito

Isotretinoin ni dawa ambayo pamoja na kazi zingine, hutumika kutibu changamoto ya chunusi sugu. Iliidhinishwa…

Faida za Mtama kwa Watoto

Mtama unaweza kuwa chakula muhimu katika kupambana na changamoto ya udumavu, pamoja na unyafuzi wa…

Chanjo

Chanjo 10 Zinazotolewa Kwenye Kliniki ya Mama na Mtoto
Click Here

UHALISIA: Asali si Salama kwa Watoto Chini ya Umri wa Mwaka Mmoja

Asali ni chakula chenye manufaa makubwa sana kwa afya ya binadamu. Viambato vikubwa viwili vya asali ni maji na sukari.…

Veriafya

Nyanya: Virutubisho, faida na tahadhari zake

Watu wengi hutumia nyanya kama kiungo pasipo kujua kuwa huwa na faida nyingi sana kwa…

UHALISIA: Ultrasound ni Kipimo Salama kwa Wajawazito

Ultrasound hutumia mawimbi ya sauti kutengeneza picha za ndani ya mwili. Haitumii mionzi mikali ya…

Maziwa: Virutubisho, Faida na Tahadhari kwa Afya

Wanyama wanaozaa hutengeneza maziwa ili kuwapatia chakula watoto wao. Ng’ombe, mbuzi, ngamia na kondoo ni…

Kucha Ndefu Hubeba Bakteria wa Kinyesi, Chanzo cha Kutokupona Chunusi

Kucha ndefu zinaweza kubeba aina mbalimbali za bakteria, ikiwemo bakteria wa kinyesi (fecal bacteria), hasa…

Veriafya

Kunywa Maji ya Moto Husaidia Kupunguza Maumivu ya Hedhi

Kunywa maji ya moto au ya uvuguvugu wakati wa hedhi kunaweza kusaidia kupunguza maumivu ya…

Veriafya

Mtoto Mchanga Kubanduka Ngozi ni Kawaida

Kubanduka kwa ngozi ya mtoto mchanga ni jambo la kawaida baada ya kuzaliwa. Mara nyingi,…

Veriafya

Mtoto Kupiga Kwikwi ni Jambo la Kawaida, ni Hatua za Ukuaji

Mtoto kupiga kwikwi ni jambo la kawaida na mara nyingi si hatari, hutokea kwa sababu…

Veriafya

Usiruhusu Wageni Wabusu Mtoto Mchanga, ni Hatari

Busu linaweza kuonekana kama ishara ya upendo, lakini kwa mtoto mchanga linaweza kuwa hatari. Mfumo…

Veriafya

Ngono ya Mdomo Chanzo cha Saratani, Masundosundo na Maambukizi ya VVU

Watu wengi hufikiri kuwa Ngono ya Mdomo ni salama zaidi kuliko aina nyingine za ngono,…

Veriafya

Usiweke Pipi Kifua (Pipi Kali) Ukeni Kunogesha Mapenzi. Ni Chanzo cha Magonjwa

Matumizi ya Pipi Kifua (Pipi kali) kunogesha Mapenzi ni tabia mbaya inayoshika kasi kadri Muda…

Veriafya

Mwanaume Anaweza Kuonesha Dalili za Ujauzito Badala ya Mkewe

Mada hii inaweza isieleweke kirahisi kwa baadhi ya watu kwakuwa hawajawahi kuona, pia kutokana na…

Veriafya